MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2085; Kusimamia Ukweli Kuna Gharama…
Kila kitu chenye thamani kwenye maisha, kina gharama, mafanikio yana gharama yake kubwa sana na ndiyo maana katika kila watu 100, ni mmoja pekee ambaye anakuwa na mafanikio makubwa. Moja ya gharama kubwa ambayo mtu unapaswa kulipa kwenye mafanikio, ni kusimama kwenye ukweli. Kinachofanya mmoja kati ya 100 ndiyo afanikiwe,