MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UKWELI HUAMBATANA NA WASIWASI…
“A wise man has doubts even in his best moments. Real truth is always accompanied by hesitations. If I could not hesitate, I could not believe.” — Henry David Thoreau Mara zote ukweli huwa ni mgumu, Na huwa unaambatana na wasiwasi, Kwa sababu wengi huwa hawakubaliani nao. Ni hali hii