MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUZUIA USIFANYE MAKUBWA…
“Those who apply themselves too closely to little things often become incapable of great things.” – François Duc De La Rochefoucauld Kinachokuzuia wewe usifanye makubwa, Ni kuhangaika na mambo madogo madogo. Unatia bidii na umakini kwenye mambo madogo na yasiyo na tija, unayafanya vizuri kabisa, lakini hayana mchango wowote kwako.