MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2089; Unasikiliza Watu Wa Aina Gani?
Hatua unazopiga na matokeo unayopata, vinategemea sana aina ya watu waliokuzunguka. Watu hao wanagawanyika kwenye makundi mawili na ndani ya kila kundi wanagawanyika mara mbili. Kundi la kwanza ni wale wanaokutia moyo na kukushauri upige hatua zaidi. Hawa wanakubaliana na kile unachofanya na wanakupa sababu ya kuendelea. Ni rahisi kuwapenda