MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2090; Angalia Umri Wako Usiwe Kikwazo Kwako…
Moja ya vikwazo ambavyo vimekuwa vinawazuia watu kufanikiwa lakini hawavijui ni umri. Wengi hawajawahi kukaa chini na kutafakari jinsi umri unaathiri hatua wanazochukua, wanadhani wanachofanya ndiyo wanachotaka, kumbe umri wao umekuwa na ushawishi. Kwa vijana, wengi huwa hawaridhiki na kile walichonacho, wanapenda mabadiliko ya haraka, wapo tayari kujaribu vitu vipya