MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2091; Jiwekee Ukomo Wa Matumizi Ya Muda Wako…
Kinachotufanya tuahirishe yale tunayopanga kufanya, ni kwa sababu tuna machaguo mengi ya nini tunaweza kufanya na muda tulionao. Hivyo kile tulichopanga kufanya kinapoonekana kigumu au chenye changamoto, ni rahisi kukimbilia kwenye kingine kinachoonekana rahisi zaidi. Kwa njia hii, unajikuta ukitoroka yale uliyopanga kufanya, ukijipa sababu nyingi unazoweza kuona ni za