MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2092; Tangazo La Kuokoa Maisha…
Kama umeingia kwenye maji ya kina kirefu na uko kwenye hatari ya kuzama huku ukiwa huna kifaa cha kujiokoa, akitokea mtu anayeuza vifaa vya kujiokoa kwenye maji hutauliza mara mbili. Utakachokifanya ni kununua kifaa hicho ili uokoe uhai wako kwanza, maana hicho ndiyo muhimu zaidi kwako kwa wakati huo. Mtu