MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2093; Thamani Ni Kubwa Kuliko Bei…
Unaweza kujipa sababu nyingi kwa nini umenunua kitu, kwamba unakipenda, kwamba unakithamini lakini zote hizo ni sababu za juu juu tu. Sababu halisi kwa nini umenunua kitu, ni kwa sababu thamani unayoipata ni kubwa kuliko gharama unazolipia. Yaani thamani yake ni kubwa kuliko bei. Chukua mfano, unataka kununua gari, ukaenda