MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2095; Kitu Pekee Anachujua Guru Na Usichojua…
Wahamasishaji, washauri, viongozi wa dini na watu wengine ambao watu wanawaamini na kuwatumia kama mwongozo kwao katika kufanya maamuzi mbalimbali, wamekuwa wanaonekana ni watu wenye uwezo fulani wa juu kuliko wengine. Kuonesha hilo, wale wenye mafanikio makubwa kwenye kuwashawishi wengi wafuate kile wanachowaambia, wamepewa jina la guru, ikiwa ni neno