MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2096; Huo Muda Zaidi Umeutumia Kufanya Nini?
Muda ni changamoto kwa kila mtu, kila mtu hana muda na kila mtu anapoteza muda. Yaani ni sawa na kumkuta mtu anakulalamikia hana fedha, lakini wakati huo huo anachukua fedha na kuzitupa. Kwenye fedha inaonekana haraka, lakini kwenye muda haionekani, kwa sababu muda huwa unatuponyoka. Mtu anaweza kupambana apate muda