MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2097; Yote Huanza Kwa Nia Njema…
Ni watu wachache sana ambao huwa wanafanya makosa kwa kusudia. Wengi huwa wanaanza na nia njema kabisa, lakini matokeo yanakuja kuwa makosa makubwa na yenye madhara. Mara nyingi tunapofanya maamuzi ya kufanya kitu, huwa tunaamini hatua tunazokwenda kuchukua zitarahisisha zaidi hali kuliko ilivyo sasa. Mfano mtu anapochukua hatua ya kudanganya,