MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2099; Lakini Mbona Hawakamatwi?
Kuna wakati unaweza kuona watu wanahangaika na kitu kisichokuwa sahihi, na unajua kabisa siyo sahihi lakini unaona kikiendelea tu, hakikatazwi na wala wanaofanya hawakamatwi. Kwa vile kitu hicho kinaendelea, watu wananufaika kweli kweli, na wanakuonesha wazi kwamba kitu hicho kinawanufaisha. Mwanzo ulikuwa na msimamo kwamba hutajihusisha na kitu hicho, kwa