MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2102; Kwa Wengine Ni Mambo Ya Kawaida…
Ni rahisi kutoa ushauri kwa wengine, lakini ni vigumu wewe mwenyewe kuuishi ushauri unaowapa wengine. Hata pale mambo yanapowatokea watu wengine, ni rahisi kwetu kuwashauri na kuwapa moyo, lakini mambo hayo hayo yanapotutokea sisi wenyewe hatuwezi kutumia ushauri ambao tumekuwa tunawapa wengine. Kinacholeta hali hizi za tofauti ni hisia ambazo