MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2103; Adui Mmoja Ni Maadui Wengi…
Pita kwenye haya maisha kwa amani kadiri uwezavyo. Enenda na wengine kwa mapatano na jitahidi kadiri uwezavyo kutokuingia kwenye migogoro na wengine. Mara zote fanya kile kilicho sahihi na simama kwenye ukweli na haki. Kuna watu watachukizwa na wewe kuishi kwenye misingi hiyo, watajenga uadui na wewe, usijisumbue nao wala