MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2104; Wanasambaza Walichonacho…
Kila mtu huwa anasambaza kile kilicho ndani yake, hakuna anayependa kukaa na kitu ndani yake. Hivyo wale wenye hofu, huwa wanasambaza hofu hiyo kwa wengi zaidi. Na wenye maumivu huwa wanahakikisha wanawapa watu wengi maumivu hayo. Kadhalika wanaoteseka, huwa wanahakikisha kuwatesa wengine. Na wale wenye upendo, huwa wanawapenda zaidi wengine.