MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2106; Unakosa Muda Na Kuchoka Sana Kwa Sababu…
Unahangaika na mambo mengi ambayo hayana mchango wowote kukufikisha kule unakotaka kwenda. Kila siku unapata mawazo ya kuanza na kujaribu vitu vipya, ambavyo unaviona vitakuwa bora zaidi. Lakini ambacho hufikirii kabla hujaanza kitu kipya ni kwamba muda na nguvu zako vina ukomo. Kwa siku una saa 24 tu na haziongezeki,