MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2107; Kimbilia Kwenye Vitabu…
Maisha yana changamoto, hakuna chochote kitakachokwenda kama ulivyopanga kwa asilimia 100. Utaweka mipango yako vizuri na kuanza kuitekeleza, lakini baadaye utakutana na vikwazo na changamoto ambazo zinakuzuia kupata kile unachotaka. Hapo ndipo wengi hukwama, kukata tamaa na kuachana na safari waliyokuwa wameianza. Lakini haipaswi kuwa hivyo, kama kweli umejitoa kupata