MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2108; Jiandae Kwa Mchakato…
Kinachowaangusha wengi kwenye hadithi za mafanikio ni hiki; kuangalia pale waliofanikiwa wapo sasa na kutaka kufika hapo, bila kupitia mchakato wa kufika pale. Yeyote unayemuona amefanikiwa leo, hakuamka na kujikuta kwenye mafanikio hayo, na wala hakupita njia ya mkato isiyohitaji kazi. Alipitia kwenye mchakato mrefu ambao huwa haupewi uzito sana