MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2109; Kama Fedha Inaweza Kutatua, Huna Tatizo…
Sehemu kubwa ya matatizo yanayowasumbua wengi kwenye maisha siyo matatizo halisi, bali tatizo la msingi linakuwa ni fedha. Kama una tatizo lolote linalokusumbua na unaweza kulitatua kwa fedha, basi jua huna tatizo, bali unachokosa ni fedha. Kwa kujua hili, inakupunguzia mzigo wa mawazo na msongo ambao umekuwa unajipa kwa matatizo