MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUTAKA KUJUA KILA KITU…
“If a man sets out to study all the laws, he will have no time left to transgress them.” – Johann Wolfgang von Goethe Kama lengo lako ni kujua kila kitu ndipo uanze kufanya, kamwe hutafanya. Maana kuna mengi ya kujua na kila siku mengi zaidi yanazalishwa. Kama unasubiri uwe