MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2112; Kwa Nini Usianze Kuishi Hivyo Sasa…
Siku moja nikiwa kliniki, niliona kwenye orodha ya wagonjwa wanaosubiri kuingia kwangu kutibiwa kukiwa na mgonjwa mwenye miaka 93. Kwa haraka nilipata picha atakuwa ni mzee sana, ambaye atakuwa kwenye kiti cha kuendeshwa na atakuwa hawezi kutembea. Lakini nilipoita mgonjwa huyo, alikuja akiwa anatembea mwenyewe na alionekana kuwa na nguvu