MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUACHA MAZOEA INAHITAJI KAZI…
“Any departure from accepted traditions and customs requires a large and serious effort, but true understanding of new things always requires such an effort.” – Leo Tolstoy Kuachana na mazoea inakutaka mtu uweke jitihada na umakini mkubwa. Kuacha kile ulichozoea kufanya na ambacho wengine wanafanya siyo rahisi. Ndiyo maana wengi