MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2113; Fanya Kitu Kuwa Bora Zaidi Ya Kilivyo Sasa…
Kuna watu wanaamini ushindani ndiyo njia nzuri wa kuwasukuma kufanya makubwa zaidi. Lakini hilo siyo kweli, ushindani huwa unamfanya mtu asahau kule anakotaka kufika na kuanza kuangalia wengine wanafanya nini ili kuwazidi. Kinachotokea, hata kama umewashinda wale unaoshindana nao, unakuwa umepoteza, kwa sababu hujawa wewe. Mafanikio ya kweli hayaletwi na