MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; JE HIKI NDIYO MUHIMU ZAIDI KUFANYA?
“Most of what we say and do is not essential,” If you can eliminate it, you’ll have more time, and more tranquility. Ask yourself at every moment, ‘Is this necessary?’” – Marcus Aurelius Mengi unayosema na kufanya siyo muhimu. Na hayo ndiyo yanayomaliza muda wako, kukuchosha na kukuvuruga. Kama utaweza