MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2114; Linda Rasilimali Hizi Tano…
Wale wanaofanya makubwa kwenye maisha yao siyo kwamba wana tofauti kubwa sana na wanaoshindwa kufanya makubwa. Bali wanajitambua zaidi kuliko wengine. Na katika kujitambua kwao, wanazijua rasilimali muhimu za kulinda ili waweze kufanya makubwa. Hizo ni rasilimali ambazo zikipotea huwa zina madhara makubwa ya kumzuia mtu asipige hatua. Rasilimali hizi