MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2115; Unapokuwa Njia Panda, Iangalie Asili…
Asili huwa inajiendesha kwa kanuni zake yenyewe na haijawahi kushindwa kwenye hilo. Kila kitu kinaenda kwa taratibu zake na asili haina uonevu wala upendeleo. Asili haina wema wala ubaya, bali inaenda kwa namna ambayo ni bora kwa asili kwa ujumla. Simba kumla swala inaweza kuonekana ni uonevu kwa swala, lakini