MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UTAPIMWA KWA VIWANGO VYAKO MWENYEWE…
“In the world people take a man at his own estimate; but he must estimate himself at something. Disagreeableness is more easily tolerated than insignificance.” – Johann Wolfgang von Goethe Watu huwa wanakuchukulia kwa namna unavyojichukulia wewe mwenyewe. Kama unajiheshimu basi pia watu watakuheshimu. Na kama unajidharau na wao pia