MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2118; Kujikana Wewe Mwenyewe…
Wanaotaka mafanikio makubwa ni wengi, Wanaotaka kuwa na utajiri ni wengi, Wanaotaka umaarufu ni wengi, Lakini ni wachache sana wanaopata kile wanachotaka, katika watu 100 ni mmoja pekee anayefikia kile hasa anachotaka. Siyo kwa sababu watu hao ni wa tofauti sana, ila watu hao wamejitoa zaidi ya wale ambao hawafikii.