MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2120; Kazi Na Mbwembwe…
Watu wamekuwa wanatumia nguvu nyingi kwenye mbwembwe kuliko kwenye kazi. Kwenye maonesho kwamba wanafanya kazi kuliko kazi yenyewe wanayoifanya. Wengi wanakazana ili waonekane wanafanya kazi, ili waonekane wako ‘bize’ lakini hakuna chochote kikubwa wanachozalisha. Na haya yote yamechochewa na ukuaji wa mitandao ya kijamii, maana hiyo inampa kila mtu nafasi