MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2121; Jikinge Na Mihemko Ya Wengine…
Watu wengi huwa wanaendesha maisha yao kwa hisia, kwa kufuata mihemko yao. Ndiyo maana wengi hawawezi kufanya maamuzi na kuyasimamia kwa muda mrefu. Ni sawa na mtu anayeenda kwenye mkutano wa hamasa au kusoma kitabu cha hamasa, anahamasika sana na kutoka akiwa anajiambia anakwenda kubadilika na kufanya makubwa. Lakini anapolala