MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2122; Kutafuniwa…
Wakati nasoma shule ya sekondari, kwenye somo la Kiingereza kulikuwa na vitabu vya fasihi na ushairi ambavyo vilikuwa kwenye mtaala, ambavyo kila mwanafunzi alipaswa kuvisoma na kwenye mitihani kulikuwa na maswali ya kujibu kutokana na vitabu hivyo. Mwalimu wetu wa Kiingereza alitufundisha vitabu viwili tu na kuamini hivyo vingekuwa msaada