MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2123; Ni Bora Kufanya Bure Kuliko Kutokufanya Kabisa…
Upo usemi wa Kiswahili kwamba mtembea bure siyo sawa na mkaa bure, maana yule anayetembea bure anaweza kukutana na fursa ambazo anayekaa mahali pamoja bure hawezi kuzipata. Kauli hii inahusika kwenye maeneo mengi ya maisha yetu, ikiwepo kazi zetu mbalimbali. Mtazamo mkuu tulionao kwenye shughuli mbalimbali tunazofanya ni kulipwa kadiri