MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2124; Tabia Zinapiga Kelele Kuliko Maneno…
Nina rafiki yangu mmoja ambaye tunajuana kwa karibu miaka kumi sasa. Ni rafiki ambaye haipiti muda sijakutana naye na mara nyingi huwa ni kwa kutembelea ofisi yake. Siku za karibuni, amepata rafiki mwingine ambaye wanashirikiana naye kwenye ofisi yake. Hivyo ninapoenda pale ofisini kwa rafiki yangu, nakutana na huyo mwingine