MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2126; Dagaa Siyo Watoto Wa Samaki Wakubwa…
Ukiwaangalia dagaa na kuwalinganisha na samaki wengine wakubwa, unaweza kufikiri dagaa ni watoto wa samaki, ambao kama wangeachwa basi wangekuja kuwa samaki wakubwa. Lakini huo siyo ukweli, dagaa ni jamii ya samaki ambao ni wadogo, hivyo unapomuona dagaa ni samaki aliyekamilika, hata aachwe kiasi gani, hatafikia ukubwa wa samaki wengine