MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; SIFA ZA KIJINGA…
“There are persons whose only merit consists in saying and doing stupid things at the right time, and who ruin all if they change their manners.” – Johann Wolfgang von Goethe Kuna watu ambao wamepata umaarufu mkubwa kwa kufanya mambo ya kijinga na ya hovyo kabisa. Hasa kwenye zama hizi