MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2127; Tunaomba Upokee Pesa Zetu…
Fikiria upo kwenye biashara na umefika hatua ambayo badala wewe uwabembeleze wateja wanunue, wateja wanakubembeleza wewe upokee pesa zao, ukubali kuwauzia kile unachouza. Unafikiri hizo ni ndoto? Ni uhalisia kabisa, biashara zote ambazo zimeweza kufikia mafanikio makubwa, zimeweza kufika hatua hiyo ya wateja kubembeleza kuuziwa, wateja wanaiomba biashara ipokee pesa