MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2129; Kuhusu Maisha Kwenda Kama Unavyotaka…
Kuna kitu kimoja muhimu sana unachopaswa kuelewa kwenye safari ya maisha na mafanikio. Unaweza kupata kile unachotaka au kufika kule unakotaka kufika, lakini maisha hayataenda kama unavyotaka wewe yaende. Kupata unachotaka na maisha kwenda vile unavyotaka wewe ni vitu viwili tofauti kabisa. Na kutokujua tofauti hiyo kumekuwa kikwazo kwa wengi