MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2130; Uimara Wa Madhaifu Yako…
Kila mtu ana madhaifu yake, lakini siyo wote ambao wanayajua madhaifu waliyonayo, kwa sababu wengi hawajapata nafasi ya kujitambua vizuri wao wenyewe. Kwa wale wanaoyajua madhaifu yao hilo limekuwa haliwasaidii, kwa sababu huchukua hatua moja kati ya hizi; Hujaribu kuyaficha madhaifu hayo kwa sababu hawataki yaonekane na wengine na kutumiwa