MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2133; Mafanikio Ya Asilimia 100…
Hayapo, Huwa siyo mpenzi wa kuangalia tv, lakini ninapojikuta kwenye hali ambayo naangalia tv, basi huwa napendelea kuangalia stesheni inayorusha vipindi vya wanyama. Napenda vipindi hivyo kwa sababu vinaonesha jinsi asili inavyofanya kazi, jinsi viumbe mbalimbali wanavyopangana kuendesha maisha yao katika mazingira ambayo ni magumu lakini wanafanikiwa. Siku moja nikiwa