MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2134; Ushindi Hewa…
Epuka sana mabishano yoyote yanayohusisha hisia, maana hata kama utashinda kwa hoja, bado hisia za uliyemshinda hazitakuwa zimebadilika, badala yake atakuwa ameimarika zaidi kwenye upande anaosimamia. Iwe ni kwenye mambo ya imani, mapenzi, michezo, siasa na mengine yoyote yale ambayo watu wameweka imani zao, mabishano au mashindano yoyote yale ni