MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2135; Masaa Ya Kazi Na Kazi Uliyofanya…
Wakati wa zama za viwanda, kazi zilipimwa kwa masaa. Kwa sababu sehemu kubwa ya kazi zilikuwa za mikono na mtu alikuwa na jukumu moja na linalopimika, kadiri mtu alivyoweka masaa zaidi kwenye kazi, ndivyo alivyozalisha zaidi. Tumeshaondoka kwenye zama za viwanda na sasa tuko kwenye zama za taarifa, kazi nyingi