MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2138; Madhaifu Uchwara…
Kila mtu huwa ana uimara na madhaifu yake. Lakini madhaifu tuliyonayo yanaweza kugawanyika katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ni madhaifu ya kweli, yale ambayo mtu umezaliwa nayo na ni vigumu kuyabadili. Mfano kama wewe ni mfupi sana na unataka kucheza mpira wa kikapu, huwezi kujibadili na kuwa mrefu, hivyo