MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2139; Usitumie Nguvu Kwenye Haya…
Kama unataka kulala, huwezi kutumia nguvu kutafuta usingizi. Ukiingia kitandani kwa kujiambia unakwenda kutafuta usingizi kwa nguvu, hutaupata kabisa. Lakini unapoingia kitandani ukiwa umejiachia kwamba unapumzika, usingizi unakuja wenyewe. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye furaha na mapenzi, huwezi kulazimisha, ukitumia nguvu ndivyo unavyozidi kupoteza vitu hivyo. Tukianza na furaha, kama