MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; ONGEA NA WAFU…
“To live the best life,” the Oracle told Zeno, “you should have conversations with the dead.” Kama unataka kuwa na maisha bora, unapaswa kuongea na wafu. Na hapa siyo kwa kufanya matambiko, bali kwa kusoma maarifa yaliyoachwa na wale waliotutangulia hapa duniani miaka mingi iliyopita. Wanafalsafa na waandishi mbalimbali waliweka