MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2140; Siyo Kwa Mapenzi Yako…
Mwandishi mmoja amewahi kusema kadiri mtu unavyolazimisha kwamba maamuzi yako hayaathiriwi na hisia ndivyo maamuzi hayo yanavyokuwa na hisia. Wote tunajua kwamba sisi binadamu ni viumbe wa kihisia, maamuzi mengi tunayofanya ni kwa hisia kwanza na baadaye tunayahalalisha kwa kufikiri. Lakini tunapenda kujiaminisha kwamba tunafanya maamuzi yetu kwa kufikiri, kitu