MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2143; Fanya Kama Tahajudi…
Kufanya tahajudi ni moja ya njia za kutuliza fikra zako na kupata utulivu kwenye dunia ya sasa ambayo ina usumbufu wa kila aina. Zipo aina nyingi za tahajudi, ambazo zina mbinu mbalimbali za kufanya. Wengi wamekuwa wanasema hawawezi kufanya tahajudi kwa kuwa hawana muda au utulivu wa kufanya baadhi ya