MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HAITOSHI KUJUA, FANYA…
“It is not enough to know, we must also apply; it is not enough to will, we must also do.” – Johann Wolfgang von Goethe Kujua pekee haitoshi, ni lazima uweke kwenye matendo kile unachojua ndiyo uweze kunufaika nacho. Hekima ni kuweka kwenye matendo maarifa unayoyapata. Haijalishi unajua kiasi gani,