MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NJITI YA KIBERITI HAIWAKI YENYEWE…
“Each of us is born with a box of matches inside us but we can’t strike them all by ourselves.” — Laura Esquivel Njiti ya kibeririti ina uwezo mkubwa wa kuanzisha moto, lakini haiwezi kuanzisha moto huo yenyewe. Ni lazima isubuliwe na kitu kingine ndiyo iweze kuanzisha moto. Chuma pia