MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2146; Unaweza Kwenda Kwa Muda Gani?
Watu huwa wanalalamikia hamasa wanazopata kutoka kwa wengine zimekuwa hazidumu. Mfano mtu anahudhuria semina au kusoma kitabu na kuhamasika sana, anatoka akiwa na mipango mikubwa ya kwenda kubadili kabisa maisha yake. Lakini siku chache baadaye hamasa ile inakuwa imeisha kabisa na kurudi kwenye mazoea. Wengi hufikiri tatizo liko kwenye hamasa