MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2148; Haikuwa Rahisi Kwao, Haitakuwa Rahisi Kwako…
Watu wote ambao walileta mapinduzi na mabadiliko makubwa kwenye kila eneo la maisha, ambayo tunayafurahia sasa, hawakukubalika kirahisi. Walipingwa, wakateswa na wengine kuuawa kwa sababu tu walifikiri tofauti na kundi kubwa lilivyokuwa linafikiri. Kwa upande wa falsafa, Socrates alikuja na njia mpya ya kuwajengea watu uwezo wa kufikiri, kuhoji na